Biashara mpya Dar

Biashara mpya Dar

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia
 
Habari zenu natafuta biashara mpya niyie dar es salaam , biashara hakufanika bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia

we Ni muhindi au?? Mbona Swahili iko shida Sana wewe
 
Ndo kiswahili changu!!!😅😅😅
 
we ninunulie mimi tractor hp100, transplanter, 4 disc plough , row cultivator na unitafutie shamba heka 500 mtoni baada ya miezi sita nikurudishie mil300 na baada ya miezi sita mingine mil300
 
Vyote ninavyo ila nina eka 100. Utanrusdishia sh ngap?
 
pm me your namba
 
Mkuu tatizo Bongo ni uaminifu Zero na Uongo ni Mabingwa..., Ukipata partner tegemea story nyingi na visingizio kibao mkishaanza biashara, ila kabla ya biashara atakwambia kila kitu kinawezekana.

Ushauri wangu fanya biashara yako mwenyewe na kama unaleta kitu wewe leta muuzie mtu afanye biashara zake na kama ni kukopeshana wekeni mkataba na muda wa kurudishiana na hakikisha anayo collateral au uwezo wa kukulipa pindi mambo yakienda ndivyo sivyo
 
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia
fungua Danguro lenye hadhi halafu leta na first class skirts za kutoka india,japan,china, Thailand, America and Brazil. Wateja wako wawe wauza sembe(unga), viongozi feki wa kidini na viongozi wanyonya nchi ya tanzania kutoka chama kile cha ))m!
naamini utafanikiwa
 
Vyote ninavyo ila nina eka 100. Utanrusdishia sh ngap?

kwanza inategemeana na shamba litakapokuwa kwa maana mkoa na pili kama utataka kuendelea kuwa mmiliki wa shamba baada ya mimi kumaliza gharama yako yote na kuingiza faida yako mara tatu ya gharama halisi. let say gharama halisi ikiwa mil 60 na grace period ikawa miezi sita. meaning kwamba faida yako itapaswa kuwa mil 180 baada ya kutoa gharama zako. then baada ya miezi let say sita ntalipa mil 60 na baada ya hapo kila baada ya miezi sita mpaka faida yako itakapoisha.nb nachoingiza mimi ni management na mbegu we ni materials na land tu
 
Vyote ninavyo ila nina eka 100. Utanrusdishia sh ngap?

kwanza inategemeana na shamba litakapokuwa kwa maana mkoa na pili kama utataka kuendelea kuwa mmiliki wa shamba baada ya mimi kumaliza gharama yako yote na kuingiza faida yako mara tatu ya gharama halisi. let say gharama halisi ikiwa mil 60 na grace period ikawa miezi sita. meaning kwamba faida yako itapaswa kuwa mil 180 baada ya kutoa gharama zako. then baada ya miezi let say sita ntalipa mil 60 na baada ya hapo kila baada ya miezi sita utakula zako mil60 mpaka faida yako inaisha i
 
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia

biashara ya bajaji ulifikia wapi.?
 
Did you succedd in selling your hotel located at mnazi mmoja?
If yes pm me

Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia
 
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia

dereva wa bajaji ulishampata.?
 
We lete powder (sembe) inalipa sana ila tafuta wasanii wa bongo movie na flavour kadhaa kwa ajili hiyo.
 
Back
Top Bottom