Hivi vitu vya waganga tunasema(ga) tu ni UONGO ila, NGOJA YA KUKUTE.Tafuta location nzuri, mchawi hapo ni location tu.
Ulivyoanza kututaja marafiki kijinsia tu nikagundua kuna tatizoMarafiki wa kiume na wa kike kuna changamoto kwenye biashara yangu ha kukaanga chipsi ina mfa mfupi toka nifungue ila watu wakija kununua wananiambia biashara bila mizizi haiendi.
Mwengine akaja kuniambia katafute dawa ya mvuto wa biashara kuna mda najihisi kukata tamaa na sitaki kutumia miti shamba ya waganga pia naamini biashara lazima ianzie chini na ikutane na misukosuko na izoeleke ili wateja waje na faida ionekane
Je, una maoni gani juu ya hii biashara?
View attachment 2876745