Biashara na mahusiano hayatanitesa kweli?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Scenerio yako na yangu ni pacha wasio fanana. Mimi mchepuko kanipa busness idea, na kuniongezea mtaji juu. Sema yeye hajihusishi nayo kila kitu naendasha mimi fully. Na hahitaji anything in return zaidi ya mimi kuendelea kuwa nae kimahusiano. Ni mke wa mtu na mimi nina mke. Sijajua hii safari itatamatika vipi. Wacha tuone.
 
Huwa naiheshimu hii ID ya huyu bwana. Ila sometimes yes sometimes No. Acha nipite, niepushe fedheha
Sema neno mkuu, elimu haina mwisho, maisha ni haya haya; utajisikiaje pale una miaka 70+ halafu una watoto 20+ wamepanda hewani wanakuzunguka baba yao halafu wote ni wafanyabiashara; utajisikiaje?​
 
Nitajaribu kuweka mifumo ya kudhibiti mapato na matumizi
 
Kuna mkataba nitamsainisha; ingawa kwangu muhimu zaidi ni pesa, kama hatosumbua hapo hakuna shida.
 
Hapo ni pagumu πŸ˜€
 
Wale wa kataa ndoa wapo sahihi. Wasikilizwe
 
Mwanamke akishapata pesa hamtaelewana tena

pitia ule uzi wa davis mosha utajifunza, mke wake alikuwa muhasibu kwenye kampuni yake, aliiba billions of money

akaanza kuliwa na mganga na kufikia hatua ya kutaka kumuwekea sumu mume wake
Bahati nzuri hiki ninachokianzisha kitakuwa chini ya mimi na mke wangu, ila huyu mchepuko ataonekana muajiriwa ingawa atakuwa anajilipa vizuri kutokana na faida inayopatikana.
Kwangu nimeona ni fursa kwa sababu ana muda wa kusimamia na kuhakikisha pesa inapatikana.
Muhimu zaidi mi naona, ni bora kuweka mifumo ya kumdhibiti pale atakapotamani kudokoa dokoa​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…