Biashara na mahusiano hayatanitesa kweli?

Natafuta kulala duniani,nimechoka kulala macho kwa kuota ndoto za alinachaaa
Umepewa idea tu ,umeshaajiri watuna ofiso inaendelea Amka usingizini
Wengine wanasema, tukiruhusu hofu itutawale tutaogopa kuwa wajasiriamali
 
Faida mnagawana 50/50 vipi awe muajiriwa tu? Naona na yeye ana mchango mkubwa sana. Hataishia hapo.
 
Nitaajiri wengine pia ambao watakuwa wanaripoti kwangu moja kwa moja; kwa hiyo kama kutakuwa na ishara ambayo sio nzuri nitagundua
Nyoka akiwa mdogo huwa haleti madhara ila kadri anavyozidi kukua ndivyo utaanza kuyaona madhara yake. Faida kugawana 50/50 tayari huyo si muajiriwa ni boss kibaya zaidi anakupa utamu.
Ngoja biashara ianze na hela ianze kuonekana. Duniani watu hugombana kwa mambo mawili tu
1. Hela
2. Mapenzi
 
Nyoka akiwa mdogo huwa haleti madhara ila kadri anavyozidi kukua ndivyo utaanza kuyaona madhara yake.
Ngoja biashara ianze na hela ianze kuonekana. Duniani watu hugombana kwa mambo mawili tu
1. Hela
2. Mapenzi
Tukitofautiana huko mbeleni hakuna shida, itabidi aanzishe ya kwake, nami nitaendelea kwa sababu nitakuwa tayari nina jina
 
Atakuwaje mwajiriwa huku umesema mtagawana faida nusu kwa pasu.
Mwajiriwa si alipwe mshahara wake full stop.
Kwa sababu wazo ni lake, na usimamizi mpaka faida ipatikane atakuwa ni yeye, achilia mbali ana ujauzito wangu.
Mimi nikuwezesha biashara ianze na isajiliwe kwa majina yangu; yeye ataonekana kwenye mkataba wa ajira.​
 
Ila sisi wanawake tunakazi sana, unajua kabisa mtu anakutreat kama option tena bado unajiongeza na mawazo ya biashara mara sijui nini nini mwisho wa siku anaenda kufanya na mke wake unabaki unashangaa shangaa.. . Ukishakua option make sure unakua option kweli kweli hakuna kujipendekeza wewe akupe tu hela na utamu,. Mambo yako mengine hatakiwi kuyafahamu tena kwake ujifanye mjinga kweli kweli ukiwa unajipigia zako mpunga kimyakimya..

Jinga sana huyo mchepuko wako😬😬

Nb. Mimi sina character za uchepuko, nimetoa tu ushauri
 


Upumbavu wa hali ya juu, Kwa wanawakw wa kuanzia 1990 kwenda juu, hayo ni maamuzi ambayo utakuja kuyajutia life time....

Kwa hiyo wazo la biashara linakupa vibration ya kumpa mwanamke uja uzito, seriously wrong reason kuwa na mwanamke.

Tenganisha:

1. Utafutaji pesa.
2. Mwanamke na Mama wa watoto.
 
Hajaonyesha tamaa, anaamini kupitia mazingira hayo na yeye pia ataweza kufungua ya kwake, kwa sababu faida tunagawana 50/50. Kuliko angekaa kimya na wazo lake, na mwisho wa siku ndoto zake hazitimii.
 
Wengi huwa tunaogopa watoto, ila watoto ni faraja hasa pale utakapokuwa kitandani hujiwezi.
Hapa duniani tunapambana tuwe na maisha mazuri, haya mengine ni taralila tu; kama amekuja na wazo la kupata pesa kwa nini lisifanyike?
 
Na wewe unaaminigi kabisa nyuzi zake....mi nishamzoea huyu. Anaenjoy watu tu humu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hautakua wa kwanza kufanya hivyo.

Ikienda poa hautakua wa kwanza.

Ikiwa hovyo hautakua wa kwanza pia.

Shida ni ulipohisi kwamba mimba ni kitulizo. Hicho siyo, hapo ni umejitengenezea kitanzi mwenyewe.
 
Shida ni ulipohisi kwamba mimba ni kitulizo. Hicho siyo, hapo ni umejitengenezea kitanzi mwenyewe.
Itakuwaje kitanzi, kwa sababu mpaka sasa nina watoto 6 nje kila mmoja na mama yake, na mama zao ni pisi kali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…