Biashara na Makato ya Kodi %

Papaa007

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,737
Wakuu za Asubuh kumekucha! Asubuh ya Corona...Stay home Stay safe wengi watanenepa kwa utapiamlo[emoji23][emoji23]

Bila kupoteza muda ningependa kupata angalau ufafanuzi wa baadhi ya biashara ambazo zinakwenda sambamba na makato ya kodi yake kwa TRA..

1-Biashara kama ya Bar kodi ni shngap? Ni kwa mwaka kwa mwez ama inalipwaje?

2-Biashara kama ambazo unakuwa sole proprietor malipo ya kodi yanakwendaje?

3-Stationery ama sehemu ya kulipia ya Bima kodi yake inakuaje?
Na nyingne nyingi siwez kuorodhesha zote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaribishwa kwenye ofisi zetu za TRA ushauri ni bure kabisa
[emoji851]

Sent using IPhone X
 
Haijalishi ni biashara gani unafanya:

Ikiwa unafanya biashara kama Sole Proprietor, Kodi yako itakatwa kutokana na makadirio mliyowekeana kulingana na 'prospects' yaani unatarajiwa kupata faida kiasi gani kwa mwaka.

Kwenye hili haijalishi kama utapata faida au hasara, ulichokadiriwa lazima ULIPE.

Then, kwa Limited Liability Company unapaswa kodi utalipa ikiwa tu utapata FAIDA.

Ukipata HASARA hulipi hata MIA ila mahesabu kamili yaliyokaguliwa yanapaswa kuthibitisha hilo.
 
Asante kaka kwa uchambuzi wako kuna kitu nimejifunza.. ngoja niendelee kusubiria uchambuzi wa wadau wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…