Biashara na mazingira

Biashara na mazingira

nicholaus lauwo

New Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Kukabiliana na changamoto zinazoyakabili mazingira kunahitaji kutumia fursa zilizopo kama vile kukuza uchumi usiochafua mazingira ili kuleta maendeleo endelevu na kupata manufaa mengi kama vile kutunza mazingira, kuimarisha uchumi na kubuni nafasi za kazi. Vitu muhimu vinavyoweza kusaidia kuleta mabadiliko kama vile uwekezaji kwa nishati isiyochafua mazingira, kuweka sera na sheria, uhamasishaji, kushirikiana, kufungua biashara zinazotumia ubunifu wa kutochafua mazingira,"
 
GOOD MKUU
 
Back
Top Bottom