Ndugu wa tz habari zenu, Leo naomba mnisaidie mawazo na nyie km nipo sawa au na mm nakosea,
Kaka angu alieniachia kuzaliwa ni muajiriwa serikalini sekta ya afya,
Aliniomba ushauri kua anataka kuchukua mkopo bank afungue duka la nafaka,
Anasema kaenda Bank kuuliza rate ya riba anasema ni kubwa mno Yani riba inaringana na mkopo anaouchukua
Sasa Mimi nikawa tofauti kdg na mawazo yake maana nilishafungua duka la vyakula likafa ktk, unexpected way
Nikamueleza ni Bora ajenge vyumba vya kupanga biashara zina panda shuka,
Na siku duka likifa itampa wakat mgumu kukatwa mshahara
Na kitu kizuri pale Dodoma kisasa tuna vyumba vya kupanga na eneo kubwa mno tulioachiwa na Marehem Mzee
Hataki kunielewa kbsa kuhusu vyumba vya kupanga anasema duka la nafaka ndo plan nzuri
Sasa kabla sijamuacha afate plan zake nishaurini nyie mnasemaje ili nimpe asome na maoni yenu