Biashara Nchini India

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
599
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.
 
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.

Dawa za Binadamu!
 
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.

Toka huko Kuberi deal sana ukifanikiwa kukwepa mitego ya polisi
 
Jaribu spare za Bajaji, ulitakiwa ufanye research ukiwa huku kwanza upate mpaka bei wanazouza huku, ungeongea na mafundi kujua vifaa vinavyotoka sana na bei wanazonunua...otherwise ukitoka hapo we ingia Bangkok kwanza ukanunue nguo.
 
Asante sana Kwa ushauri wako, inavyoonekana India hakuna issue sana kuhusu biashara
 
Asante sana Kwa ushauri wako, inavyoonekana India hakuna issue sana kuhusu biashara

Huko vitu vingi labda machinery na vitu kama hivyo, lakini hivi vidogovidogo tofauti ya bei ni ndogo sana, labda jaribu kuangalia simu, smartphones ambazo utakuja uwauzie mashosti unarudisharudisha gharama si mbaya sana.
 
Pia vifaa vya Ujenzi wana quality nzuri sema vitu vyao ni Ghali sana Km toilete, Kitchen Sinks, nk
 
Nimefanya utafiti san huku lakini bado sijapata la maana ,ila kuna uzi nimeusoma kuhusu Thailand nafikiri kwenda huko hapo baadae
 
Kuna kampuni ya nguo India nguo zake zinaitwa Killer..ni nguo nzuri sana za kuume hasa suruali..kama kuna mtu anajua ilipo hapo Ind
 
mchina ashaharibu hii dunia,India vitu ni original na huku mchina ndio ameshika kasi
 
mchina ashaharibu hii dunia,India vitu ni original na huku mchina ndio ameshika kasi

Nikweli vitu vya INDIA ni quality mm nafanya biashara ya Vifaa vya Ujenzi tunauza vitu vya INDIA lkn mchina anafunika na wabongo kwa kupenda mteremko hawajambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…