Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.
Ni PM..Niko India pia.
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.
Jaribu spare za Bajaji, ulitakiwa ufanye research ukiwa huku kwanza upate mpaka bei wanazouza huku, ungeongea na mafundi kujua vifaa vinavyotoka sana na bei wanazonunua...otherwise ukitoka hapo we ingia Bangkok kwanza ukanunue nguo.
Asante sana Kwa ushauri wako, inavyoonekana India hakuna issue sana kuhusu biashara
mchina ashaharibu hii dunia,India vitu ni original na huku mchina ndio ameshika kasi