Biashara ndani ya Amazon

Biashara ndani ya Amazon

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
780
Reaction score
1,579
Habari wakuu

Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya

Katika pitapita zangu za amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya individual account ambayo itakua inalipiwa 0.9USD kwa kila mauzo unayoyafanya

NIkapitia price ya simu kama samsung galaxy,iphone na zingine ziad nikagundua ni price kubwa sana mfano samsung galaxy note 10 plus ni usd300+ nayo ni used sio mpya lakini bongo ni bei ya chini sana ambayo unaweza ukaipata kwa 380000

Kuhusu inshu ya box za simu ziko pale aggrey kwa 10000 pia unaweza kupiga hadi lamination

Sawali langu.

Je unaweza ukafungua seller account ukauzia simu zako nje ya nchi na ndani ya nchi kupitia amazon?

Na je unaweza kufanya exportation nje ya nchi?

Na je gharama zake zipoje kwenye kusafirisha electronics hasa mobile phones?

Wajuzi wa mambo karibuni 🙏
#work smart
 
Samsung gani S10 wanauza laki tatu na 80 hio used unazani S10 + ni Tecno used tu! Inauzwa laki nne na 70 mbaka laki tano
Sio s10 mkuu nimesema note 10+ (plus gb256) then 400000 za gb512
 
Back
Top Bottom