Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

Yejmaz20

Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
23
Reaction score
24
Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
 
Chanika inakuwa kwa kasi, sema kwa biashara sasa mimi sio mwenyeji huko huwa napita mara1moja. Fanya utafiti binafsi kwanza utabaini biashara gani zinafaa kwa mtaji wako
 
Back
Top Bottom