Biashara ndogo ndogo

Biashara ndogo ndogo

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Nina rafiki yangu aliyewekeza ktk biashara inayomuingizia faida halisi ya 50000 kila baada ya siku moja,yaani 25000,je aendelee kuwekeza hapo.au afungue ingine

Tumsaidie ushauri
 
Hasara hio aache tu akae asubirie miujiza ya tito akitoka jela
 
Wenzie wana mitaji mikubwa ila faida hio kwa siku mbili hawana uhakika nayo sasa yeye anaipata faida anataka ushaur duh.
Hasara kivipi na ww uko na balimi nn[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom