1: "mama kulwa alifungua duka la nguo naona amepata pata,inaonekana linalipa ee?" NDIO ,LINALIPA NA WEWE FUNGUA.
2." A :Uyo mzee wa hapo juu nakwambia kaporomosha ghorofa iyo yani hatari, kwan anafanya ishu gani? B: naskia tu ni hizi biashara biashara." NDIO NI HIZO HIZO BIASHARA BIASHARA NA WEWE INGIA.
3:"Nna vi hela benki ngoja nifungue kaduka apa zizae taratibu" NDIO FUNGIA ZITAZAA TARATIBU
Lengo lako la kuingia katika ujasiriamali ni lipi?