Biashara ngumu

Biashara ngumu

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
1: "mama kulwa alifungua duka la nguo naona amepata pata,inaonekana linalipa ee?" NDIO ,LINALIPA NA WEWE FUNGUA.

2." A :Uyo mzee wa hapo juu nakwambia kaporomosha ghorofa iyo yani hatari, kwan anafanya ishu gani? B: naskia tu ni hizi biashara biashara." NDIO NI HIZO HIZO BIASHARA BIASHARA NA WEWE INGIA.

3:"Nna vi hela benki ngoja nifungue kaduka apa zizae taratibu" NDIO FUNGIA ZITAZAA TARATIBU

Lengo lako la kuingia katika ujasiriamali ni lipi?
 
Kama uliyeandika umeelewa basi inatosha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Inaonekana wewe ni mangi afu kunaharamia kafungua biashara sawa Na yako afu anamtaji mkubwa ko anakupiga bingo
 
Back
Top Bottom