round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Najiona mimi kabisa. Ila yamenifanya niwe mkubwa zaidi. Asante changamoto.Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa.
Unapoingia kwenye biashara kwenye nchi kama Tanzania umeingia kwenye competition ua kikatili sababu mazingira yamejaa rushwa, siasa, ndumba, sheria legevu, n.k. usipokuwa makini UNALALA NJAA !
Upo ka location kanakuingizia pesa, watu wanakuchora hata mwezi hauishi nao wanafungua biashara kama yako pembeni yako COPY PASTE tena wanaweza kuingia kwa kuuza kwa bei rahisi kukuzidi, taratibu wateja wanaanza kukuhahama.
Umeagiza mzigo kwa kujumua elf 8 kwa piece unaenda kuuza reja reja elfu 10 kwa piece, Mwengine mzigo huo huo anauingiza kwa magendo au kwakutoa rushwa halipii kodi anauza elfu 7 kwa piece, wewe ukiuza hio bei ni hasara.
Unapata wazo jipya la biashara, unatafuta benki ya kukukopa, mfadhili au mshirika. kabla hujajua, wanakulaghai na kufungua biashara yao kwa kutumia wazo lako, sheria zimelegea kukulinda mwenye wazo.
Unafuata taratibu zote halali za biashara, unalipa kodi zote, lakini wenzako wanatoa rushwa ama wana watu wao wa kuwasaidia kukwepa kodi. Mwisho wa siku, wanauza kwa bei rahisi na wanakufanya ushindwe kuendelea.
Unapata dili la kusambaza bidhaa kwa kampuni fulani, unakopa fedha ili uweze kuwaletea mzigo. Baada ya kusambaza, wanagoma kulipa au wanachelewesha malipo, huku wewe unakimbizana na maafisa wa benki .
Unawaajiri watu, unawafundisha mbinu zako za biashara, unawaamini. Baada ya muda, wanakusaliti na kufungua biashara kama yako, wakichukua wateja wako kwa kutumia ujuzi uliowafundisha.
Umepanga eneo lenye kodi ya laki 2 biashara inakua, mwenye nyumba anaona unapata pesa, ghafla anakwambia kodi imepanda mpaka laki 5 au anakuondoa ili akodishe kwa mwingine kwa bei ya juu zaidi.
Upo sahihi kabisa mkuu lakini wapo pia ambao wanalala njaa kwasababu huyo aliefanikiwa kateka soko aidha anauza kwa bei rahisi zaidi yao, anauza bidhaa bora, yupo location nzuri, n.k.Lakini humo humo watu wanatoboa kikubwa ni kutokata tamaa.
Biashara ni ngumu sana. Unaweka kitu dukani unasubiri watu ambao hujakubaliana nao kuja kukinunua kwako. Mbaya zaidi ndio kuna hayo Matabaka.Upo sahihi kabisa mkuu lakini wapo pia ambao wanalala njaa kwasababu huyo aliefanikiwa kateka soko aidha anauza kwa bei rahisi zaidi yao, anauza bidhaa bora, yupo location nzuri, n.k.
huyo alietoboa na yeye anaweza kufilisika kwa kupinduliwa na wengine, Kwenye biashara unaweza kufika juu ila kumaintain hali hio kwa miaka 10+ ndio mtihani
Huwa sishangai napoona mfanyabiashara anaenda kwa mgangABiashara ni ngumu sana. Unaweka kitu dukani unasubiri watu ambao hujakubaliana nao kuja kukinunua kwako. Mbaya zaidi ndio kuna hayo Matabaka.
Wanaonunua na kulipa ushuru na kodi zote
Wanaonunua ila wanakwepa kodi
Wale wazee wa magendo
Wote hawa mteja wao ni mmoja japo mpangaji wa bei kila mmoja agaangalia amepataje bidhaa yake.
Kuumia kupo
Kufilisika kupo
Kulala njaa kupo
Wengine wengi ndio wanaamua kugeukia gizani
Motivational speakers ndio hao wanasemaga "CHUKUA RISK"Ili ufanikiwe kibiashara lazima uwe risk taker, uwe na roho mbaya ! Kumbuka sio kila mtu anaweza kufanya biashara! Mengine nyuma ya kapeti, haya karibu ground !
Yote uliyoyaongea yana ukweli.Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa.
Unapoingia kwenye biashara kwenye nchi kama Tanzania umeingia kwenye competition ua kikatili sababu mazingira yamejaa rushwa, siasa, ndumba, sheria legevu, n.k. usipokuwa makini UNALALA NJAA !
Nimeshuhudia vijana wengi wakiingia kwenye biashara kwa matumaini makubwa na upepo waliojazwa na motivational speakers, Biashara ni competition ya kikatili mno, Ili moja apate lazima mwengine akose, Mwezanzako anatoboa pale wateja wako wakiacha kuja kwako wanaenda kwake !! Nimeshaona watu wakilala njaa, Nimeona watu waliofanikiwa kibiashara miaka kadhaa wanafirisika wanaanza kupanda bajaji au kutwanga mguu, watu wanachizika kwa msongo wa mawazo, n.k.
Upo ka location kanakuingizia pesa, watu wanakuchora hata mwezi hauishi nao wanafungua biashara kama yako pembeni yako COPY PASTE tena wanaweza kuingia kwa kuuza kwa bei rahisi kukuzidi, taratibu wateja wanaanza kukuhahama.
Umeagiza mzigo kwa kujumua elf 8 kwa piece unaenda kuuza reja reja elfu 10 kwa piece, Mwengine mzigo huo huo anauingiza kwa magendo au kwakutoa rushwa halipii kodi anauza elfu 7 kwa piece, wewe ukiuza hio bei ni hasara.
Unapata wazo jipya la biashara, unatafuta benki ya kukukopa, mfadhili au mshirika. kabla hujajua, wanakulaghai na kufungua biashara yao kwa kutumia wazo lako, sheria zimelegea kukulinda mwenye wazo.
Unafuata taratibu zote halali za biashara, unalipa kodi zote, lakini wenzako wanatoa rushwa ama wana watu wao wa kuwasaidia kukwepa kodi. Mwisho wa siku, wanauza kwa bei rahisi na wanakufanya ushindwe kuendelea.
Unapata dili la kusambaza bidhaa kwa kampuni fulani, unakopa fedha ili uweze kuwaletea mzigo. Baada ya kusambaza, wanagoma kulipa au wanachelewesha malipo, huku wewe unakimbizana na maafisa wa benki .
Unawaajiri watu, unawafundisha mbinu zako za biashara, unawaamini. Baada ya muda, wanakusaliti na kufungua biashara kama yako, wakichukua wateja wako kwa kutumia ujuzi uliowafundisha.
Umepanga eneo lenye kodi ya laki 2 biashara inakua, mwenye nyumba anaona unapata pesa, ghafla anakwambia kodi imepanda mpaka laki 5 au anakuondoa ili akodishe kwa mwingine kwa bei ya juu zaidi.
Ila kuna kitu kingine nilichojifunza kwenye biashara.Upo sahihi kabisa mkuu lakini wapo pia ambao wanalala njaa kwasababu huyo aliefanikiwa kateka soko aidha anauza kwa bei rahisi zaidi yao, anauza bidhaa bora, yupo location nzuri, n.k.
huyo alietoboa na yeye anaweza kufilisika kwa kupinduliwa na wengine, Kwenye biashara unaweza kufika juu ila kumaintain hali hio kwa miaka 10+ ndio mtihani
unapoanza biashara unaweka matumaini yako yote kwenye biashara moja lakini biashara ikilipa ni muda wa kuanza kuongeza biashara. ongeza maduka sehemu zenye uhitaji, jenga lodge, fungua banda la kuonyesha mpira, n.k.Ila kuna kitu kingine nilichojifunza kwenye biashara.
Mbali na kucheza na ushindani kuna kitu kingine ambacho mfanyabiashara mzuri anatakiwa awe nacho na kitu hiki ni uwezo wa kujiongeza na kubadilika kwa haraka kulingana na mazingira.
Kwa mfano chukulia wewe biashara yako kubwa ilikuwa ni kuuza baiskeli miaka na miaka lakini unaanza kugundua kwamba biashara yako ya baiskeli kwa sasa imedoda lakini bado akili imeganda unalazimisha kuuza baiskeli kwa nini usibadilishe biashara badala ya kuuza baiskeli uza bodaboda.
Au biashara yako ilikuwa ni kuuza mkaa lakini baadae unagundua kuna washindani wengi kila nyumba 5 kuna muuza mkaa achana nayo badilisha uboreshe na kuuza mitungi ya gesi.
Biashara huwa hazitaki watu wanaofanya vitu kwa kukariri au wazito kubadilika lazima utafilisika tu
Exactly,Hata wahindi wanafanya hivyo.unapoanza biashara unaweka matumaini yako yote kwenye biashara moja lakini biashara ikilipa ni muda wa kuanza kuongeza biashara. ongeza maduka sehemu zenye uhitaji, jenga lodge, fungua banda la kuonyesha mpira, n.k.
Ni kwenda na kipindi tuu Mkuu,mguu ndani,mguu nje!Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa.