Biashara ni Kutoa Ndogo Upate Kubwa!

Biashara ni Kutoa Ndogo Upate Kubwa!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Hivi majuzi tumesikia jamaa yetu akituimbia kuwa biashara zimejaa mapato wakati mishahara imejaa makato.
Yeah, ni jambo zuri hata kama unafanya kazi, ukawekeza kile kidogo cha ziada ili kikue. Maandiko yanatuambia chembe ya ngano isipoanguka hukaa ilivyo. Bali ikifa hutoa mazao mengi. Na ndivyo ilivyo kwenye biashara. Wekeza kidogo kilicho nacho kwa nia ya kukuza mtaji na kupata faida itakayokusaidia kukidhi mahitaji yako. Cku hizi ajira hazisomeki kabisa. Yan mshahara peke ake hauwezi ku sustain mahitaji kibao yanayotuandama...
 
Back
Top Bottom