Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Usihofu sana kwa ajili ya hiyo Title ila nachojaribu kusema biashara ni sawa na mwanamke unayetaka kumuoa kwahiyo ukidhani kwa mtazamo wako mwanamke huyo ni malaika au mkamilifu sana ni Lazima utafeli kwenye ndoa yako kwani utakuta ndivyo sivyo!,Ni sawa tu na biashara ukidhani biashara unayotaka kuifanya ina faida sana haina changamoto basi jiandae kushindwa,Chukulia kuwa biashara unayotaka kuifanya ina hasara nyingi basi unapoingia unakuwa umeshajiandaa vya kutosha kukabiliana na hasara ili upate faida!,kalamu yangu imeisha wino!Tchao