Biashara ni sawa na mwanamke

Biashara ni sawa na mwanamke

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
300
Reaction score
173
Usihofu sana kwa ajili ya hiyo Title ila nachojaribu kusema biashara ni sawa na mwanamke unayetaka kumuoa kwahiyo ukidhani kwa mtazamo wako mwanamke huyo ni malaika au mkamilifu sana ni Lazima utafeli kwenye ndoa yako kwani utakuta ndivyo sivyo!,Ni sawa tu na biashara ukidhani biashara unayotaka kuifanya ina faida sana haina changamoto basi jiandae kushindwa,Chukulia kuwa biashara unayotaka kuifanya ina hasara nyingi basi unapoingia unakuwa umeshajiandaa vya kutosha kukabiliana na hasara ili upate faida!,kalamu yangu imeisha wino!Tchao
 
Kuna biashara nyingine hasara sana hadi zinafungwa
 
Back
Top Bottom