Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Kwahiyo ni nafasi ya pili baada ya nafasi ya kwanza pesa kupatikana kupitia kaziBiashara ni pesa na pesa ni biashara.
Haya mama wanao wamekusikia ila wanaomba ulegeze kidogo kwani bei ya bidhaa ipo juu sana.Kwa wengi iko hivyo. Kuanzia ngazi ya familia hadi taifa. Utakuta mtu mhunimhuni huko mjini akiulizwa kuhusu kazi anajibu mjasiriamali. Yaani hadi wauza mbususu hukimbilia kujiita wahasiriamali. Biashara ni wito mkubwa sana kama ilivyo ualimu, udaktari au uaskari.
Mimi sio mama. Ni mtanzania ninayevutiwa na uongozi wa Mama Samia hivyo 2025 tutampitisha kwa kishindo kupitia sanduku la kura.Haya mama wanao wamekusikia ila wanaomba ulegeze kidogo kwani bei ya bidhaa ipo juu sana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app