Biashara ni second chance?

Biashara ni second chance?

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
Kwanini biashara inakuwa nafasi ya pili?

Baada ya mtu kufeli katika kazi au chochote ndo anafikiria kufanya biashara, nahisi ndomaana wengi pia wakiingia kwenye biashara wakikutana na changamoto wanakuwa wadhaifu na wepesi kukata tamaa, au kwanini labda baada ya kufeli ndotunawaza biashara?
 
Fanya kazi au kibarua upate pesa ufanye biashara, swala kufeli ni mambo yanachangia, kiufupi tu usikate tamaa.
 
Kwa wengi iko hivyo. Kuanzia ngazi ya familia hadi taifa. Utakuta mtu mhunimhuni huko mjini akiulizwa kuhusu kazi anajibu mjasiriamali. Yaani hadi wauza mbususu hukimbilia kujiita wahasiriamali. Biashara ni wito mkubwa sana kama ilivyo ualimu, udaktari au uaskari.
 
Haya mama wanao wamekusikia ila wanaomba ulegeze kidogo kwani bei ya bidhaa ipo juu sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom