Ni habari nazozipata kutoka chanzo cha kuaminika kisicho na shaka hata kidogo
Jirani tunachekeana lakini chuki aliyonayo kwangu ni kubwa.
Na mimi nimewahi kupata ushindani mkali kiasi kwamba nilishindwa kabisa kucompete, nilihama lakini sikufikia kiwango cha hii chuki na unafki
wateja wangu wengi sio wa kuwasubiria, nimewajenga kwa muda mrefu kupitia mtandao, naanda post za kuwaelimisha, wataovutiwa tunawasiliana nawaelekeza duka lilipo.