Biashara nyingine

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na mfanyakazi.
Nna idea ya kuongeza nywele(rasta,weaving and wigs) au pombe kali kwa jumla. Nahitaji msaada wenu wa kimawazo. Mtaji nilionao wa kuongeza ni km 3m.
 
TIKEI bana hili ni jukwaa la malavidavi we unaleta habari za biashara utakosa ushauri mzuri!
 
Ok nilikosea kuileta huku, sasa naweza ipeleka kwenye ujasiliamal? Nawezeje kuihamisha topic mi sielewi!

'wee huwezi aisee labda umuombe Invisible akuskilize kama atakuelewa lakini...'
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…