Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na mfanyakazi.
Nna idea ya kuongeza nywele(rasta,weaving and wigs) au pombe kali kwa jumla. Nahitaji msaada wenu wa kimawazo. Mtaji nilionao wa kuongeza ni km 3m.