Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,049
Biashara, Itampatia vitu vingine vyote; Nyumba, Gari & warembo pia, maana mzunguko wa pesa utakuwa mzuriAanze biashara?
Ningekua mimi ndo kijana mwenye millioni 20 huu ushauri ningeufatisha hadi nuktaKwanza uyo kijana lazima afahamu mil 20 si pesa nyingi sana ni ya kawaida sana.
Ningemshauri kama ifuatavyo:
Aendelee kuweka bidii kwenye hiyo kazi iliyompatia mil 20 asikimbilie kujenga kwa sababu mil 20 kama hana kipato cha uhakika hatatimiza lengo la kujenga.
Asikimbilie kwenye kuiwekeza mil 20 kwenye biashara kwa sababu biashara haina gurantee 100% atumie kiasi kidogo tu labla mil 4 kufanya biashara ndogondogo.Atafute viwanja 2 anunue kwa ajili ya kiwanja kimoja kujengea baadae na kingine anaweza kukiuza akaongezea kwenye ujenzi.
Aachane na mawazo ya kununua gari kabisa mpaka awe na vyanzo vya uhakika vya kumuingizia pesa ili gari lisigeuke kuwa liability.
Note:kwangu ni ulimbukeni kwa kijana anayeanza maisha kukimbilia kununua gari.kujijenga kiuchumi kwanza ni muhimu sana.
Unaonekana una mawazo ya kizamani sana. Kuwa na gari sio ulimbukeni. Hasa kwa miji kama Dar. Labda uwe unakaa mkoaniKwanza uyo kijana lazima afahamu mil 20 si pesa nyingi sana ni ya kawaida sana.
Ningemshauri kama ifuatavyo:
Aendelee kuweka bidii kwenye hiyo kazi iliyompatia mil 20 asikimbilie kujenga kwa sababu mil 20 kama hana kipato cha uhakika hatatimiza lengo la kujenga.
Asikimbilie kwenye kuiwekeza mil 20 kwenye biashara kwa sababu biashara haina gurantee 100% atumie kiasi kidogo tu labla mil 4 kufanya biashara ndogondogo.Atafute viwanja 2 anunue kwa ajili ya kiwanja kimoja kujengea baadae na kingine anaweza kukiuza akaongezea kwenye ujenzi.
Aachane na mawazo ya kununua gari kabisa mpaka awe na vyanzo vya uhakika vya kumuingizia pesa ili gari lisigeuke kuwa liability.
Note:kwangu ni ulimbukeni kwa kijana anayeanza maisha kukimbilia kununua gari.kujijenga kiuchumi kwanza ni muhimu sana.
Umempatia jibu fupi lakina lenye mashikoJenga nyumba ya kupangisha biashara kwa sasa hapa nchini NI KICHOMI AMBACHO HAKIJAPATA DAWA