buyoya419
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 618
- 498
Wakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu
Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa vya umeme niwe nafanya kwa sababu nina uzoefu na maswala ya umeme
Naombeni ushauri wenu