Biashara nzuri hapa ni ipi? Dereva wa bajaji au duka la vifaa vya umeme?

Biashara nzuri hapa ni ipi? Dereva wa bajaji au duka la vifaa vya umeme?

Andaa 10m chukua bajaj mpya jiunge bolt na faras ingia barabarani hutajuta hakikisha unaendesha mwenyewe kama utapambana vizuri mwaka 1 tu pesa yako inarudi
 
Baja
Bajaji nimeambiwa ni 10m

Ninaweza nikakopa 2 sehemu nikaongezea nikanunua mpya nikapiga nayo biashara
Chukua mpya mkuu
Tunza chombo
Piga kazi saa tatu usiku laza chombo pumzika (epuka vilevi na wanawake)
 
Achana na bajaj fanya kitu una experiencia nacho..
Fungua duka la vifaa vya umeme eneo lenye uhitaji..
Weka bna bango kubwa la kutangaza huduma za ufundi umeme unazofanya..
Piga hela
Na siyo lazina liwe li frem likubwa fungua hata kifrem cha kinachinga

anza mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom