Mkuu Bajaj mpya kwa 8m uongo, used utapata hata kwa bei chini ya 8mWakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu
Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa vya umeme niwe nafanya kwa sababu nina uzoefu na maswala ya umeme
Naombeni ushauri wenu
Duka la vifaa vya umeme ukizingatia wewe ni fundi hivyo rahisi kupatana na mtu na vifaa ukachukua dukani kwakoakoWakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu
Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa vya umeme niwe nafanya kwa sababu nina uzoefu na maswala ya umeme
Naombeni ushauri wenu
Kama ni fundi umeme,fungua duka la vifaa vya umeme, tafuta kijana mwaminifu au mkeo,ili wateja wakija wanataka fundi umeme unamuachs kijana,unaenda kushughulikia kufunga vifaa!Wakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu
Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa vya umeme niwe nafanya kwa sababu nina uzoefu na maswala ya umeme
Naombeni ushauri wenu
Ninataka nichukue mpya nianze nayo used nyingi siziamini,service zisije zikanisumbua za kila sikuNunua bajaji Moja kwa 4m una pata nzuri, '"endesha mwenyewe, endesha mwenyewe.
Hiyo 4m, iweke kwanza, mambo yaki kaa poa. Fungua hilo duka la vifaa vya Umeme.
Asante,nanunua kwa ajiri yangu sio kumpa mtu labla kama inizalishie huko mbele nipate ya 2 ndio nimpe tu na mimi nibakie nayo hii niendeleze gurudumuChukuwa bajaji mpya hakikisha unaendesha mwenyewe nakuhakikishia baada ya mwaka pesa yako isharudi na faida juu
Asante kwa wazo hili japo nahangaika kutafuta location nzuri,kwenye location nzuri ndio kunanichanganya mpk nikafikiria bajaji maana hii location za kupiga pesa zipo kibaoDuka la vifaa vya umeme ukizingatia wewe ni fundi hivyo rahisi kupatana na mtu na vifaa ukachukua dukani kwako
Asante natamani mtaji wangu nifanye mpango niuongezee niwe na bajaji na pia duka la umemeKama ni fundi umeme,fungua duka la vifaa vya umeme, tafuta kijana mwaminifu au mkeo,ili wateja wakija wanataka fundi umeme unamuachs kijana,unaenda kushughulikia kufunga vifaa!
Una taka mpya??, kwanza Kumbuka 8m ime kuja kwa kufanya kazi mda mrefu.Ninataka nichukue mpya nianze nayo used nyingi siziamini,service zisije zikanisumbua za kila siku
4m iliyosimama ninaweza nikazipata wapi nimtafute fundi mtaani niende nayeUna taka mpya??, kwanza Kumbuka 8m ime kuja kwa kufanya kazi mda mrefu.
Kuidumbukiza yote kwa mara 1 wakati huja jua uchungu na utamu wa kazi yenyewe ni kamari nzito!.
Kheri uwekeze nusu, halafu upige kazi, mambo yaki iva una anzisha duka la vifaa vya Umeme.
Wakati uki komaa na bajaji, unaeza jikuta una ona fursa nzuri maana mtembeaji sio sawa na mlalaji.
Kwa 4m nina uhakika una pata iliyo Bomba Sana, ila uki taka mpya hadi process ziwe tayari ni 9 hapo.