Biashara rahisi ya mtandao

Yani Dola 18 tu ebu endelea kidog mkuu utupe huo ujuzi na sisi tujaribu
 
Nimecheka sana kwa majibu yako, inaonekana hawa jamaa mlisha wachoka, pia wanavichwa vigum sana
 
Inawezekana ikawa ni kweli lakin atoe maelezo ya kutosha mkuu utpelei mwingi hapa mkuu si unajua barid kali hadi kwenye mifuko
 
Wenzenu waNigeria angalau wanatumia akili za ziada kutuchuuza wewe umetumia akili ndogo mno ndo maana unapata majibu

....kivipi?
....fafanua?
....mwisho utaambulia matusi..........

Haingii kichwani kwa hali ya sasa ya uchumi wa dunia na Tanzania ikiwemo uje na uwezeshaji wa Dola 18 = TZS 36,000 ujianzishie kipato cha kudumu.

This is shit --------vinginevyo ufafanue labda nitakuelewa
 
Yaani...kuna kampuni inaitwa 4 corners alliance group iyo inahusika na uuzaji wa vitabu vya soft copy ambavyo ni vya ujasiriamali....kujiunga ni dola 18 ambapo dola 10 ni kwa ajili ya kununua kitabu na dola 8 ni kama registration fee...ukijiunga wewe kazi yako inakuwa ni kuinvite wengine kujiunga pia kwa kiasi hiko hiko cha dola 18.kila atakayejiunga kwako wewe km source unapata dola 4 kama faida kwako
 
Samahani wakuu nilipata dharura nikashindwa kureply kwa muda muafaka
 
Ahasante kwa taarifa
 
mpk ufikishe dola buku ni muda gani???pia hivyo vitabu vinauzwa dola ngapi?????
 
???????/?ndo niniiiiih

Yaani pale unapoadd watu wa4 au zaid ww unalipwa dola 4 kwa kila mmoja...mind u ukishaadd watu wa4 unakuwa umerudisha pesa yako uliyoanzia...wale ulioadd nao wakiingiza watu wewe pia utalipwa dola 4 kwa kila anapoingia mtu hapo unakuwa level2...level 3 ni pale walioongezeka wanapoongeza watu pia hapo sasa kwa kila mmoja utapata dola 10 kumbuka kuwa hutalipia ela tena baada ya ile dola 18 ya mwanzo...watu wako ulioingiza mwanzo iwe wa4 au zaid ndo watakaokutengenezea ww pesa kwa jinsi watakavyoongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…