Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Mchopeko unafahamika na wachache sana kama sio watu wa Ulanga na Kilombero tu
Una nini cha ziada?Mkuu,kama ni kweli mchopeko binafsi nitanunua hata kwa 3000@kg.Mchopeko ni balaa ni kama senene Kagera.
fahamu kwamba huu sio white rice. Pia nina order ya watu wengi tu...!
Wengine wanaonekana awahufaamu vizuri huu mchele(ebu mgoogle neno PARBOILED RICE). Alafu jaribu kufuatilia ili huelimike zaidi juu ya Biashara hii.
NB: KUHULIZA SIO UJINGA BALI NI UELEVU.
Wengine wanaonekana awahufaamu vizuri huu mchele(ebu mgoogle neno PARBOILED RICE). Alafu jaribu kufuatilia ili huelimike zaidi juu ya Biashara hii.
NB: KUHULIZA SIO UJINGA BALI NI UELEVU.
Ninakuja na Biashara ya Mchele huitwao MCHOPEKO, ambao nitauza kwa Sh. 2,000/kg. Katika mfumo wangu wa kuuza nitawahusisha vijana popote ulipo. Wewe kijana nitakupa 1 Kg kwa Sh. 1,600/= na utahupeleka kwa mlaji kwa Sh. 2,000/=, kwa hiyo kijana utabakia na Sh. 400/=. Haya vijana juhudi yako itakufanya ufaidike zaidi.Biashara yangu hii nimesha hiyandalia Business plan, na hivi sasa nimepatiwa mtaji wa Sh. 38.7m kutoka CRDB Plc. Kwa mujibu wa Business yangu ninatalajia kuanza mwezi wa 6, 2014. Hivi sasa nipo na wakulima uku Ulanga,Morogoro ili nipate bidha bora. Hili kuhifahamu zaidi kuhusu hii Biashara keep on intacting with me. I welcome any questions which associated to my Business..!
Ingekua mchele wa Mbeya,Magugu sawa ila wa morogoro hata sh 1200 hutauza
Hongera mkuu kwa hatua uliyofika kwani umethubutu na ninaamini utafika mbali. Mungu akusimamie. Kuusu hiyo biashara nipm nikupe njia nyingine nzuri kaka
1.Huo mchele 1kg ni sawa na 2kg za mchele wa kawaida
2. Kama hupendi mafuta basi huo ndio best mchele ni mtamu sana
3.Hauwezi kukinai kama mchele mwingine, una mapishi mengi tofauti na mchele wa kawaida
Nb : mimi last time nimenunua 1kg kwa 3500
In english it is called Parboiled rice. Locally it is done by steaming the paddy before drying.
we ka' co Mpogoro cjui, lakin kurudi Mtimbila unaona taabu, bisha?!Uza na pepeta mkuu
thanx very much, my head was aching trying to search out what exactly does it mean! i think is the kind of those rice people say they remain in original shapes nd not into pieces but tastless! am not sure if am right but if i am, then, at least it has best marketable show!