Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

Mchopeko unafahamika na wachache sana kama sio watu wa Ulanga na Kilombero tu
 
fahamu kwamba huu sio white rice. Pia nina order ya watu wengi tu...!

eleza sasa ni mchele wa namna gani na una tofauti gani, na ni kwa nini unahisi watu wa kawaida wataupaparikia? soko kubwa la hiyo bidhaa ni wapi, kwa maana kama umechukulia mpaka mkopo ina maana una market ambayo ni very lucrative kuliko hii ya tuliozowea mchele wa kyela wenye radha na harufu nzuuri kwa bei nafuu!
 
Ndg mleta mada kwakuwa lengo nikupata wateja wengi Nimuhimu ukaelezea huo Mchele ni waaina gani manake inaonekana Km unaupekee flan Manake cwote wanaoufahamu huo MCHOPEKO...!
 
Wengine wanaonekana awahufaamu vizuri huu mchele(ebu mgoogle neno PARBOILED RICE). Alafu jaribu kufuatilia ili huelimike zaidi juu ya Biashara hii.
NB: KUHULIZA SIO UJINGA BALI NI UELEVU.

Uza na pepeta mkuu
 
Wengine wanaonekana awahufaamu vizuri huu mchele(ebu mgoogle neno PARBOILED RICE). Alafu jaribu kufuatilia ili huelimike zaidi juu ya Biashara hii.
NB: KUHULIZA SIO UJINGA BALI NI UELEVU.

Ni kweli wengine hatuujui tupe elimu bwana, wewe ni mfanyabiashara usiwe mvivu kueleza,maelezo yako ndo yataleta clients wengi.
 
Mmhhh endelea mkulima ee mchele una rangi gani tens_ sina cha kusema kwani wewe ni mkulima &mjasiriamali sasa hasira ya nini tena (mimi kwetu ulanga ni PM?
Naijua MOROGORO kwani ni mzaliwa kwanini usinitsfute tuwekeze pamoja lkn kama uko serious ktk hili...
 
Tatizo watu hawaujui mchopeko ni kitu gani....huu ni mchele wa heshima kwa jina lingine unaitwa 'kula na bwana'..mimi mwaka jana mchele huo na wa kawaida nilipata faida ya 68m ...mwaka huu nita invest zaidi..tutakuwa pamoja Ulanga
 
Ninakuja na Biashara ya Mchele huitwao MCHOPEKO, ambao nitauza kwa Sh. 2,000/kg. Katika mfumo wangu wa kuuza nitawahusisha vijana popote ulipo. Wewe kijana nitakupa 1 Kg kwa Sh. 1,600/= na utahupeleka kwa mlaji kwa Sh. 2,000/=, kwa hiyo kijana utabakia na Sh. 400/=. Haya vijana juhudi yako itakufanya ufaidike zaidi.Biashara yangu hii nimesha hiyandalia Business plan, na hivi sasa nimepatiwa mtaji wa Sh. 38.7m kutoka CRDB Plc. Kwa mujibu wa Business yangu ninatalajia kuanza mwezi wa 6, 2014. Hivi sasa nipo na wakulima uku Ulanga,Morogoro ili nipate bidha bora. Hili kuhifahamu zaidi kuhusu hii Biashara keep on intacting with me. I welcome any questions which associated to my Business..!


niko Kyela mzee nitaupataje mchele!
 
Mkuu biashara yako sio mbaya ni bonge la wazo lakn mimi natembea na nimefanya reseach lakn naona watu wanapenda kununua mchele kwa BEI ya shs 1,200 sasa unafikiri nani atauza kwa 2000 hakuna soko ilo kwani hata super markets zetu j_hiyo ndio BEI lwahiyo usije ukaingia katika biashara ya hasara .Je unaonaje usikopeshe wafanyabiashara wadogo kwa mil5 halafu tunakuwa tunakulipa mil 7 baada TA kila miezi 4 sasa ukosi kitu ni pesa kubwa hiyo jaribu nami uone kwani naweza kufanya biashara....vizuri kama uko tayari tuwasiliane ..
 
Wakuu mnaojua huo MCHOPEKO simsadie kumwaga taarifa hapa? wengine Tunajua MCHELE tu! Kwakawaida hapa watu cwanafungukaga2!!
 
Utueleze pia kwa watu wa mikoani tutaupataje? Na km ni morogoro wewe unapatikana maeneo gani. MCHEPUKO RICE...hebu tufafanulie na picha kidogo tuelewe
 
Ingekua mchele wa Mbeya,Magugu sawa ila wa morogoro hata sh 1200 hutauza

Salesmanship is a profession. I sell Ifakara rice above that value right here in Tanzania.
I know some Traders who sale Ifakara rice in the name of Kyela produce.

By the way parboiled rice can be polished and be white as other white rice.
 
Hongera mkuu kwa hatua uliyofika kwani umethubutu na ninaamini utafika mbali. Mungu akusimamie. Kuusu hiyo biashara nipm nikupe njia nyingine nzuri kaka

Kwa nini usim-PM tu wewe ukampa hiyo njia ili kuokoa muda mkuu.
 
1.Huo mchele 1kg ni sawa na 2kg za mchele wa kawaida
2. Kama hupendi mafuta basi huo ndio best mchele ni mtamu sana
3.Hauwezi kukinai kama mchele mwingine, una mapishi mengi tofauti na mchele wa kawaida

Nb : mimi last time nimenunua 1kg kwa 3500

Kuna vya kujifunza hapa,coz ndo bussness ninayotegemea kunitoa ili niende kwenye biashara nyingine
 
In english it is called Parboiled rice. Locally it is done by steaming the paddy before drying.

thanx very much, my head was aching trying to search out what exactly does it mean! i think is the kind of those rice people say they remain in original shapes nd not into pieces but tastless! am not sure if am right but if i am, then, at least it has best marketable show!
 
thanx very much, my head was aching trying to search out what exactly does it mean! i think is the kind of those rice people say they remain in original shapes nd not into pieces but tastless! am not sure if am right but if i am, then, at least it has best marketable show!

Actually it i very tasty and nutritious. People in those tough days where no food and sun ro dry paddy they used to do Mchopeko for shida only in fact they did not know that they are doing one of the.best rice processing procedure.

By the way if you want to make more money then do it for export and if you sale the unpolished one (dunduli) then you will be.hitting the jackpot. Because brown rice is very expensive it is $3.20 @1kg in EU.
 
Back
Top Bottom