MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Mbona maandishi yako kwa kiingereza ni fasaha kuliko ulivyoandika kwa kiswahili au keyboard yako niya kimwera au kimatengo?!
Kuhusu mchele wako ni rangi nyekundu ule wa kupikia makande au mseto? Au wa blue from bangkok lol!!?
Mchopeko.ni nini kitanishawishi niache kununua dukani kwa shs 1400/- na kununua wa 2000/-?