Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

Mbona maandishi yako kwa kiingereza ni fasaha kuliko ulivyoandika kwa kiswahili au keyboard yako niya kimwera au kimatengo?!

Kuhusu mchele wako ni rangi nyekundu ule wa kupikia makande au mseto? Au wa blue from bangkok lol!!?

hahaha! mbona sijaona neno la kimwera hapo?
 
hongera kwa ubunifu! kwa wanaoujua mchele wa mchopeko .why vijana ?ujasiriamali hauna mipaka
 
Uandishi wa mwandishi unanitatanisha sana, sijui ni wapi ulipo angukia manake sio makosa ya kawaida haya.
 
Mkuu, mwezi June ndo ushafika huo! Tupe taarifa tukupe oda
 
Back
Top Bottom