Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

RiMaHo

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
13
Reaction score
6
Ninakuja na Biashara ya Mchele huitwao MCHOPEKO, ambao nitauza kwa Sh. 2,000/kg. Katika mfumo wangu wa kuuza nitawahusisha vijana popote ulipo. Wewe kijana nitakupa 1 Kg kwa Sh. 1,600/= na utahupeleka kwa mlaji kwa Sh. 2,000/=, kwa hiyo kijana utabakia na Sh. 400/=. Haya vijana juhudi yako itakufanya ufaidike zaidi.Biashara yangu hii nimesha hiyandalia Business plan, na hivi sasa nimepatiwa mtaji wa Sh. 38.7m kutoka CRDB Plc. Kwa mujibu wa Business yangu ninatalajia kuanza mwezi wa 6, 2014. Hivi sasa nipo na wakulima uku Ulanga,Morogoro ili nipate bidha bora. Hili kuhifahamu zaidi kuhusu hii Biashara keep on intacting with me. I welcome any questions which associated to my Business..!
 
Hicho Kichwa cha habari! - Mtu atatoka kwa mtaji wa kilo moja ya mchele?
 
fahamu kwamba huu sio white rice. Pia nina order ya watu wengi tu...!
 
Kijana hiko ni kianzio tu. Juhudi yako itakufanya kukamilisha mahitaji na lengo lako(Work hard to achieve more)
 
Mbona maandishi yako kwa kiingereza ni fasaha kuliko ulivyoandika kwa kiswahili au keyboard yako niya kimwera au kimatengo?!

Kuhusu mchele wako ni rangi nyekundu ule wa kupikia makande au mseto? Au wa blue from bangkok lol!!?
 
Wengine wanaonekana awahufaamu vizuri huu mchele(ebu mgoogle neno PARBOILED RICE). Alafu jaribu kufuatilia ili huelimike zaidi juu ya Biashara hii.
NB: KUHULIZA SIO UJINGA BALI NI UELEVU.
 
Samahani ndugu mkulima mbona unaandika hivi? Anyway huo mchele ni brown rice au ni kama magugu?
 
Mbona maandishi yako kwa kiingereza ni fasaha kuliko ulivyoandika kwa kiswahili au keyboard yako niya kimwera au kimatengo?!

Kuhusu mchele wako ni rangi nyekundu ule wa kupikia makande au mseto? Au wa blue from bangkok lol!!?

ijojoo! mboni ngase juandiki samatengu. koto isoli kanono
 
Ninakuja na Biashara ya Mchele huitwao MCHOPEKO, ambao nitauza kwa Sh. 2,000/kg. Katika mfumo wangu wa kuuza nitawahusisha vijana popote ulipo. Wewe kijana nitakupa 1 Kg kwa Sh. 1,600/= na utahupeleka kwa mlaji kwa Sh. 2,000/=, kwa hiyo kijana utabakia na Sh. 400/=. Haya vijana juhudi yako itakufanya ufaidike zaidi.Biashara yangu hii nimesha hiyandalia Business plan, na hivi sasa nimepatiwa mtaji wa Sh. 38.7m kutoka CRDB Plc. Kwa mujibu wa Business yangu ninatalajia kuanza mwezi wa 6, 2014. Hivi sasa nipo na wakulima uku Ulanga,Morogoro ili nipate bidha bora. Hili kuhifahamu zaidi kuhusu hii Biashara keep on intacting with me. I welcome any questions which associated to my Business..!

Ingekua mchele wa Mbeya,Magugu sawa ila wa morogoro hata sh 1200 hutauza
 
fahamu kwamba huu sio white rice. Pia nina order ya watu wengi tu...!

Sawa hatukatai,kawaulize wauzaji watakuambia kama mchele wa kawaida ni 1200 hadi 300 lakini watu wanalalamika je,2000?kuna mchele fulani mdogomdoio ndio bei hiyo lakini walanguz wanakuambia wanachukua kilo 50 lakini unakaa zaidi,maana unaliwa na wahindi na waarabu wa local street wale wa matawi supermaket shoping zao.
 
Hongera mkuu kwa hatua uliyofika kwani umethubutu na ninaamini utafika mbali. Mungu akusimamie. Kuusu hiyo biashara nipm nikupe njia nyingine nzuri kaka
 
Mchele wa Morogoro hauna soko zuri ila kama kweli ni mchopeko basi sawa,wateja utapata mpaka ukimbie!!
 
Ingekua mchele wa Mbeya,Magugu sawa ila wa morogoro hata sh 1200 hutauza

Mibongo bwana, wewe ndio unajua kuliko yeye aliinvest akweka plan na mpaka akapata mkopo, biashara za mazoea hizi bwana kauze mwenyewe huo wa mbeya.......!
 
ni nini kitanishawishi niache kununua dukani kwa shs 1400/- na kununua wa 2000/-?
 
ni nini kitanishawishi niache kununua dukani kwa shs 1400/- na kununua wa 2000/-?

1.Huo mchele 1kg ni sawa na 2kg za mchele wa kawaida
2. Kama hupendi mafuta basi huo ndio best mchele ni mtamu sana
3.Hauwezi kukinai kama mchele mwingine, una mapishi mengi tofauti na mchele wa kawaida

Nb : mimi last time nimenunua 1kg kwa 3500
 
Back
Top Bottom