Biashara siyo rahisi

Hiyo sio biashara. Ni uchuuzi na haina tofauti na kuajiriwa.
Kama biashara haiwezi kusimama wakati wewe haupo, ujue ni uchuuzi. Bora hata kuajiriwa kunakuwa na mafao NSSF/PSSSF.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walioajiriwa pia walipambana usiku na mchana kusoma ,kuvumilia magumu so hakuna tofauti. Mana na mfanyabiashara Kama yupo serious ndani ya miaka mitano unakuta analia kivulini. Sawa na msomi tu

Kwa Hiyo tunaofanya biashara hatujasoma [emoji28][emoji28]
 
Kuna vitu bado hujakutana navyo
 
Na wewe uliyeajiriwa mawazo yako yanatawaliwa na bosi wako. Aliyejiajiri anajitawala mwenyewe. Hakuna kitu kizuri kama uhuru wa kujitawala kimawazo. Hakuna tajiri aliyefanikiwa kwa kazi za kuajiriwa ila matajiri wengi walijiajiri.
 
Bakhresa yupo category ya producer/manufacturer ila wale wanaokwenda kiwandani kwake kununua bidhaa na kuuza mitaani ndio wachuuzi.
 
Sasa mbona wewe mwenye hio biashara unaajiri watu wakusaidie hizo kazi zako? Kwaio unawachukulia poa wanaofanya hio ofisi yako iende vizuri enh..
 
Du! Mkuu umeongea kwa sauti sana. Unafanya biashara gani na huwa unaamka saa ngapi kila siku?
 
NI
Nikki wa Pili aliwahi kutunanga sisi tulioajiriwa akatuolita sisi ni watumwa. Lakini na yeye sasahivi kaajiriwa Kisarawe.

Heshimuni ajira za watu sjo kwa kuwa hujaajiriwa unawaita wenzako ni watumwa.

Biashara ni uchawi, uganga, utapeli, wizi na kafara kibao
 
Na wewe uliyeajiriwa mawazo yako yanatawaliwa na bosi wako. Aliyejiajiri anajitawala mwenyewe. Hakuna kitu kizuri kama uhuru wa kujitawala kimawazo. Hakuna tajiri aliyefanikiwa kwa kazi za kuajiriwa ila matajiri wengi walijiajiri.
Huo uhuru wa kujitawala kama huna pesa ni zaidi ya utumwa tu.

Mwigulu kuamua kuajiriwa sio mjinga😅😅

Akina Makamba wana connection kibao lakini hadi leo wanahangaika kuajiriwa vyeo serikalini.
Maskini akipata mia mia anaanza dharau.

Wewe uliyejiajiri unamzidi Pesa na Mali Paul Makonda?
 
Bakhresa yupo category ya producer/manufacturer ila wale wanaokwenda kiwandani kwake kununua bidhaa na kuuza mitaani ndio wachuuzi.
Yeah iko hivyo, ila huwezi kusema mtu anaehusika na production (Bakharesa) eti ni mchuuzi.
 
Hela sio ngumu strategy ndo ngumu.kama unaona upataji wako wa hela ni ugumu badili strategy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…