Biashara: Suzuki Carry, Bajaji, Taxi au Bodaboda?

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Wakuu nina milionji 8.

Nipeni ushauri kwa Dar,

Kati ya biashara ya usafiri wa:-
-Suzurki Carry
-Bajaji
-Taxi
-Bodaboda

Na je hesabu yake kwa siku ipoje.

Stay Blessed
 
Wakuu nina milionji 8.

Nipeni ushauri kwa Dar,

Kati ya biashara ya usafiri wa:-
-Suzurki Carry
-Bajaji
-Taxi
-Bodaboda

Na je hesabu yake kwa siku ipoje.

Stay Blessed
kuinvest hela yako ya kwanza kwa chombo cha usafiri ni risk sana ila kama una uzoefu na vyombo vya moto inalipa ila ningekushauri mkuu tafuta biashara nyingine ikichanganya na kuwa stable ndo invest ktk vyombo vya moto nina experience mbaya na bajaji na nafahamu wengine wawili nao nina mifano ya bajaji na boda boda ila kuna jambo wapata jifunza so waweza jaribu ila fanya utafiti zaidi mkuu
 
Wakuu nina milionji 8.

Nipeni ushauri kwa Dar,

Kati ya biashara ya usafiri wa:-
-Suzurki Carry
-Bajaji
-Taxi
-Bodaboda

Na je hesabu yake kwa siku ipoje.

Stay Blessed

Ndio nini hiyo hapo kwenye red?

Weka akiba ndani hadi ufikishe nyingi ununue Nyumba... Sometime ukiwa na pesa kama hizo kwenye account yako ya benk Maisha yanakuwa Matamu sana yasiyo na Presha kwa wengine ila ukishaziivest kila siku unakuwa na stress tu... Biashara lazima ununue Jini pemba ili isife... Maeneo ya Mijini hizo pesa zitaisha kama unyonya ukivamia biashara kirejareja....

Nnua Mzani uwe unanunua Vyuma Chakavu then ukifikisha tani kadhaa unaenda kule kurasini kuna wachina wananunua mzogo wote... Faida utaiona biashara za abiria uwe na moyo mgumu au ufanye wewe mwenyewe ndio pesa utaiona...

Nina Nissan Civillian abria 27 Njoo nikuuzie Basi kwa pesa yako hiyo... Basi likiwa zima kwa siku hesabu ni elfu 80 likiharibika zinakutoka pesa inategemea hesabu ni kiasi gani ila kwa mwezi hutokosa chini ya million 1
 
chukua carry ingia ubia na wenye maduka ya jumla au ya vifaa vya ujenzi wakuunganishe na wateja wao kuwabebea bidhaa
 
Wakuu Suzuki Carry hesabu yake kwa siku ni shillingi ngapi? Na Taxi hesabu kwa siku ni shillingi ngapi?
 
Wakuu Suzuki Carry hesabu yake kwa siku ni shillingi ngapi? Na Taxi hesabu kwa siku ni shillingi ngapi?
Na mimi nahitaji kujua hili aise naona wadau wapo kimya.
 
USHAURI:...
milioni 8 ni ndogo kama huna business plan nzuri na ni nyingi ukifanya Vise versa...

Kwa kuwa unataka kuwekeza kwenye vyombo vya moto, nunua Bajaj... Usinunue hivi Bajaj zenyewe zenye jina hilo hilo Bajaj, nunua inayoitwa TVS KING. Ina nguvu na Injini yake inavumilia angalau kuliko hiyo 4 stroke ya Bajaj...

Hesabu yake kwa siku huwa ni kuanzia 15 hadi 20 kulingana na makubaliano na dreva . So kwa wiki ni 100,5000 hadi 140,000. Hapo ni kufanya kazi Jumatatu hadi Jumapili... Ili kutunza chombo inashauriwa angalau kila baada ya wiki mbili kumwaga Oil.
Na kila jumapili chombo ipumzike na dreva pia apumzike maana kazi inachosha hii.

Pia kwenye service mnaweza kukubaliana... Kwamba kifaa kilicho chini ya 10000 iwe juu ya dreva, ikizidi hapo juu ya bosi... Au akawa anakupa hesabu ya siku 5,siku ya sita anatafuta hela ya service na siku ya saba ni mapumziko! Bajaj (TVS King) itakaa mpaka ichoke hela yako isharudi.


Na Bajaj ni uhakika maana lazima abiria wapande tu mjini hapa, na ukiwa na dreva mzuri mwaminifu utaipenda Bajaj.
Ni hayo tu!!

CHAGUZI ZA HESABU.
1. 15,000/day x 6days =90,000x4weeks= 360,000 (month).
2. 18,000/day x 6days =108,000x4weeks=432,000(month)
3. 20,000/day x 6days =120,000x4weeks =480,000 (Month).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…