Biashara United aliwafunga hao waarabu Koko wakiwa wamoto vibaya mno,Leo nyie mnawafunga wakiwa wamejichokea mnashangalia

Biashara United aliwafunga hao waarabu Koko wakiwa wamoto vibaya mno,Leo nyie mnawafunga wakiwa wamejichokea mnashangalia

Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!


Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!

Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!

Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!

Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024


MUDA UTASEMA


YULE JAMAA MPEMBA ALIYEKUINGIZA MJINI BADO UPO NAYE? SIKU HIZI HAKUTUMII KABISA? MAANA NLISOMA KUWA MPEMBA ALIKUPEMBUA.
 
Timu zenye mfanano na Zalani , Malumo kama CBE na Vital'o zimeshaenguliwa na zilizobaki Kwenye Makundi ni Timu Kweli...!

Sasa, Sijui itakuwaje wale Wazee...!
Huku Lunyasi Kuna Damu changa,ndo Kwanza Gemu Walitaka....
Mmesahau mara hii kuwa Yanga ilipangwa na Al Ahly, Belouizdad na Medeama na Yanga ikafuzu. Katika kikosi cha msimu uliopita hakuna mchezaji hata mmoja aliyeachwa wa kikosi cha kwanza.
 
We mleta mada umeanza kuipenda yanga kipindi umeingia mjini ulivyokuta shemeji yako ni shabiki wa yanga na wewe ukawa ni yanga wewe na mpila wapi na wapi rejea hadithi zako ulizowai kuleta hakuna hata moja umeingumzia yanga zaidi ni mpenzi wa arsenal jezi zao nyekundu haya we ulikuwa yanga kweli?
 
Technically bila upendeleo wowote Yanga ingecheza na timu iliyocheza na simba leo, Yanga wangefungwa siyo chini ya goli 5
Mkuu bange sio nzuri kwa afya ya akili haswa ukivuta chooni pasipokua na bati.
 
This is rubbish kwani hujui kama kuna ups and down kila mara ?
Hao biashara leo wako wapi?
Mashabiki wa uto mna maandiko ya kiwaki sana mwenzako alianzisha uzi Simba ikifungwa apigwe BAN na Simba haijafungwa na Yeye anaitumikia BAN sasa hivi. Jifunzeni kuwa fair hizi chuki na hasira ziwekeni kwenye mambo mengine
Mleta uzi huu, huwa ninaamini kuwa, ni mmoja wa AKILI KUBWA hapa JF. Zile hadithi zake hapa JF, zilikuwa zinanifanya nisilale kwa muda stahili, kwa jinsi nilivyokuwa ninazifuatilia.
Cha kushangaza sasa, likija suala la "KI YANGA YANGA", michango yake, inathibitisha kabisa yale maneno ya Haji Manara kuwa, Mwana Yanga, hata awe na akili kwa kiwango gani, ni msomi na ana wadhifa wa aina gani, likija suala la Yanga, basi anakuwa HAMNAZO! Fuatilia MICHANGO YAO!
 
Ukiwa Gongowazo automatically akili zinakuwa kama za kuku.
 
Mmemalizana na CBE mtakutana na IFM, UDOM, UDSM sasa 🤣🤣🤣
 
Timu zenye mfanano na Zalani , Malumo kama CBE na Vital'o zimeshaenguliwa na zilizobaki Kwenye Makundi ni Timu Kweli...!

Sasa, Sijui itakuwaje wale Wazee...!
Huku Lunyasi Kuna Damu changa,ndo Kwanza Gemu Walitaka....
CBE waliwatoa Villa mabingwa wa Uganda na hao wazee ni mabingwa wa Tanzania waliozifunga timu zote Tanzania .
 
Mabululu mmoja ni kikosi kizima.cha utopolo na chenji juu....😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom