Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe ni mchawi haswa, kuliko yule wa GamboshiππNsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
MUDA UTASEMA
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
MUDA UTASEMA
Mmesahau mara hii kuwa Yanga ilipangwa na Al Ahly, Belouizdad na Medeama na Yanga ikafuzu. Katika kikosi cha msimu uliopita hakuna mchezaji hata mmoja aliyeachwa wa kikosi cha kwanza.Timu zenye mfanano na Zalani , Malumo kama CBE na Vital'o zimeshaenguliwa na zilizobaki Kwenye Makundi ni Timu Kweli...!
Sasa, Sijui itakuwaje wale Wazee...!
Huku Lunyasi Kuna Damu changa,ndo Kwanza Gemu Walitaka....
Mkuu bange sio nzuri kwa afya ya akili haswa ukivuta chooni pasipokua na bati.Technically bila upendeleo wowote Yanga ingecheza na timu iliyocheza na simba leo, Yanga wangefungwa siyo chini ya goli 5
Mleta uzi huu, huwa ninaamini kuwa, ni mmoja wa AKILI KUBWA hapa JF. Zile hadithi zake hapa JF, zilikuwa zinanifanya nisilale kwa muda stahili, kwa jinsi nilivyokuwa ninazifuatilia.This is rubbish kwani hujui kama kuna ups and down kila mara ?
Hao biashara leo wako wapi?
Mashabiki wa uto mna maandiko ya kiwaki sana mwenzako alianzisha uzi Simba ikifungwa apigwe BAN na Simba haijafungwa na Yeye anaitumikia BAN sasa hivi. Jifunzeni kuwa fair hizi chuki na hasira ziwekeni kwenye mambo mengine
Mmemalizana na CBE watafuteni IFM piaNsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
MUDA UTASEMA
Kabla ya mechi haya maneno hatukuyaonaNsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
MUDA UTASEMA
CBE waliwatoa Villa mabingwa wa Uganda na hao wazee ni mabingwa wa Tanzania waliozifunga timu zote Tanzania .Timu zenye mfanano na Zalani , Malumo kama CBE na Vital'o zimeshaenguliwa na zilizobaki Kwenye Makundi ni Timu Kweli...!
Sasa, Sijui itakuwaje wale Wazee...!
Huku Lunyasi Kuna Damu changa,ndo Kwanza Gemu Walitaka....