Biashara United Fc Musoma yaifunga Alliance Fc ya Musoma bao 2

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Team ya mpira Biashara united Fc kutoka Musoma mjini leo jioni imeifunga team ya Alliance Fc ya Mwanza kwa goli mbili na kupanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo wa kundi leo baada ya Dodoma kufunguwa mjini Tabora# Msimu huu biashara united imejipanga zaidi kuahikisha wanapanda ligi kuu VPL.
 
Ila nasikia mlitembeza ushirikina ile mbaya
 
Angalau na sisi Wa tarime tuwaone kina okwi live sio tena kwenye kideo mura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…