Marwa Chacha
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 102
- 51
Team ya mpira Biashara united Fc kutoka Musoma mjini leo jioni imeifunga team ya Alliance Fc ya Mwanza kwa goli mbili na kupanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo wa kundi leo baada ya Dodoma kufunguwa mjini Tabora# Msimu huu biashara united imejipanga zaidi kuahikisha wanapanda ligi kuu VPL.