Biashara United (Mara) | Special Thread

Hongereni sana wanajeshi wa mpakani kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania

Hili ni funzo kubwa sana kwa Chura fc
 
Nashauri BIASHARA UNITED wapewe bejji ya VISIT SERENGETI, Maaana kuna wakubwa fulani wamepewa Mchongo wa VISIT KILIMANJARO dili likawa Dirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…