XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Tena sio kidogo, yani wana tusikilizisha redio ..Azam wametuangusha washabiki wa biashara utd.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sio kidogo, yani wana tusikilizisha redio ..Azam wametuangusha washabiki wa biashara utd.
Wameshinda ngapi ?? ..Hongereni wapiganaji wa biashara kwa ushindi
0-1Wameshinda ngapi ?? ..
Nani kafunga ?? ..
Ni Denis Nkane mkuu nimechanganyaNani kafunga ?? ..
Nani kafunga ?? ..
Ndo nani huyo ?? ..Dikson Nkina
Shukrani Sana mkuu ..
Ni Denis Nkane nimechapiaNdo nani huyo ?? ..
Anakuja vizuri sana huyo dogo ..Ni Denis Nkane nimechapia
Hivi jezi zao naweza kuzipata wapi mkuu?Mungu ibariki Rivers united kesho kutwa ..
Sijajua pia mkuu, ila wangetuzingatia sisi away fans kuhusu hizo jezi ..Hivi jezi zao naweza kuzipata wapi mkuu?
Order mtandaoni kama upo serious kweli na uache kujimwambafyHivi jezi zao naweza kuzipata wapi mkuu?