Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kakamatwa 1-0Matokeo vp wazee
Kwanza mwakani watashiriki mashindano ya kimataifa ambayo ni hatua kubwa katika historia ya soka Mkoani MaraStand ilikuwaje !! Labda tutumie akili zetu za UANAJESHI WA MPAKANI ...
Mimi nasikitika Mkuu wa Mkoa aliyekuwepo kwenda Tanga. Yule RC aliibeba Biashara United kama Timu yake, alitumia mbinu zoooote kuwapata wadhamini, kuwapa moyo wachezaji na njia nyinginezo za Kidiplomasia timu kuwa Imara. Hongera sana Mhe. Malima.Kwanza mwakani watashiriki mashindano ya kimataifa ambayo ni hatua kubwa katika historia ya soka Mkoani Mara
Ni aibu yako sasa. Mwana wa nzi weweStand ilikuwaje !! Labda tutumie akili zetu za UANAJESHI WA MPAKANI ...
Aibu gani kenge mmoja wewe ..tupo kimataifa biashara tumewaachia mbeya city ....Ni aibu yako sasa. Mwana wa nzi wewe
Wamedai kuna shida ya kibali huko DjiboutiAzam wametuangusha washabiki wa biashara utd.