Unaweza kunifahamu kama ulikuwepo hiyo 2006 wakat namaliza. Kumbe nina wadogo zangu humu?
Mno ule uwanja alafu upo ufukweniMorembe ni uwanja safi sana unaushinda hata mabatini wa Ruvu mara nne kwa uzuri wa pitch!
Sent using Jamii Forums mobile app
OhoooooUnaweza kunifahamu kama ulikuwepo hiyo 2006 wakat namaliza. Kumbe nina wadogo zangu humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulikuwa mwanafunzi Wa mginiUnaweza kunifahamu kama ulikuwepo hiyo 2006 wakat namaliza. Kumbe nina wadogo zangu humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo alikuja nani Taifa,baasha wako?It's obvious mmefulia!
Ndio maana juzi alivyokuja yule bwana wenu mhindi mlishangilia kama wehu!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
JB class ya mwaka gani umepiga mzeeHalafu Mkuu kama ulipita JB primary school nahisi tutakua tunafahamiana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishamwambia jamaa mmoja hapo amebaki kunitusiTimu inahitaji support hasa sisi wazawa, isiwe maneno matupu tufanye kwa vitendo
Aisee kweli wewe poti. Lakini kwa nini umeparuka Nyarusurya?...nikikutajia jina langu halisi la ukoo utapajua mpaka nyumbani ha ha ha ha basi kama upo Majengo mapya karibu na kwa marehemu Soku Fasion, basi salam zimfikie Familia ya Mzee Cherehan!Musoma tech, machinjioni then Majengo mapya ndio home.
Sema tuko tunatafuta pesa humu kwa Makonda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyama Garibona aliyekuwa Mwalimu Bweri Day (Morembe)?...kama ndie amsalimu komredi Mzee Mwenzangu Mkoba ingawa nasikia alihamishiwa Kasoma Sec, kule Majita!
Wakileta hizo mawe yataongeaKama viongozi wa BU ni either mashabiki wa Simba au Yanga basi mjue BU haifiki popote.
Mark my words and refer Toto
Sent using Jamii Forums mobile app