Biashara United (Mara) | Special Thread

Biashara United (Mara) | Special Thread

Musoma tech, machinjioni then Majengo mapya ndio home.

Sema tuko tunatafuta pesa humu kwa Makonda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli wewe poti. Lakini kwa nini umeparuka Nyarusurya?...nikikutajia jina langu halisi la ukoo utapajua mpaka nyumbani ha ha ha ha basi kama upo Majengo mapya karibu na kwa marehemu Soku Fasion, basi salam zimfikie Familia ya Mzee Cherehan!
 
Back
Top Bottom