Biashara United (Mara) | Special Thread

hope tuwe tunaenda uwanjani na vitu zetu za asili kama ritungu,rirndi,kighogho,mbeghete,madogoli na nyabhatimbaru
 
Katika Timu zote zilizopanda Ligi Kuu Bara msimu huu hii Timu ndio inaongoza kwa kuwa na mashabiki wanafiki,wapika majungu na wasiojua mpira na itarudi kule kule ilipotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile cyo ya wajita ile ya wakurya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizi akili mbovu huwa mnazitoa wapi?.when you are driven by intuition and instinct you totally loose the sense of being an intellectual.
Timu inaitwa BIASHARA MARA,ile si timu ya Wajaluo,Wajita,Wakurya,Wasimbiti,Wazanaki na si timu ya kabila lolote liliko ndani ya Mkoa wa Mara wala nje ya mkoa.
Hii ni Timu ya Wapenzi wote wa mpira wa miguu na michezo kwa ujumla.
Huu ukabila wa ujinga mnaoanzisha ndo maana mnakwamisha maendeleo ya michezo.
Think critically;
IF YOU CAN'T HELP THEM DO NOT HURT THEM,LET THEM GROW.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza povu,soma Uzi wote then angalia komenti za wachangiaji wanaojiita wenye Timu wanavyowasema vibaya Wajita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…