Hivi hizi akili mbovu huwa mnazitoa wapi?.when you are driven by intuition and instinct you totally loose the sense of being an intellectual.
Timu inaitwa BIASHARA MARA,ile si timu ya Wajaluo,Wajita,Wakurya,Wasimbiti,Wazanaki na si timu ya kabila lolote liliko ndani ya Mkoa wa Mara wala nje ya mkoa.
Hii ni Timu ya Wapenzi wote wa mpira wa miguu na michezo kwa ujumla.
Huu ukabila wa ujinga mnaoanzisha ndo maana mnakwamisha maendeleo ya michezo.
Think critically;
IF YOU CAN'T HELP THEM DO NOT HURT THEM,LET THEM GROW.
Sent using
Jamii Forums mobile app