Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara.
Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania
Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania