Biashara United (Mara) | Special Thread

Biashara United (Mara) | Special Thread

Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara.

Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania
Binafsi nimefarijika kusikia matokeo ya timu yangu naiona Mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"E="kuku mweus, post: 28068553, member: 490171"]Wataanza kutoa kejeli kama hawatakua wanashirikishwa
Afu kibaya wengi ni wajita majungu tupu



Hasa yule Mwalimu aliye ipandisha, japo amepewa nafasi katika bench la ufundi, lakini anaonekana hakubaliani na hilo, asipo dhibitiwa ataanza kuingilia majukumu ya Mwalimu...
 
Back
Top Bottom