Biashara United (Mara) | Special Thread

Biashara United (Mara) | Special Thread

Kufungwa sio shida kwa kipindi hiki,cha msingi tuweke malengo kubaki ligi kuu kwa msimu huu kuliko kukomalia umaarufu ambao hatuna kwa sasa.
Tukikutana na wanyonge wenzetu kama yanga,tuhakikishe tunachua point zote 3.
Hivi kauli mbiu ya BUFC inasemaje wadau?
Yanga mnyonge wenu sio?kaburi linawaita msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20180912_173013.jpeg
Leo nilikuepo uwanjani kushuhudia mazoezi ya vijana
 
Acheni mambo zenu.za ukabila.. tukianza kutengana wenyewe eti sijui ya wajita sijui nini .. Kuna waKwaya.. waRuri. waZanaki.. na wengiiii... mkoa una makabila zaidi ya 20... Mkileta Hizi mambo hatutoifikikisha mbali... Acheni usoro.. Mimi ni mkwaya niliyekulia arusha Acheni hizo mambo
Umeongea point sana
 
Back
Top Bottom