Mbogosonb
Member
- Jan 27, 2014
- 37
- 16
Yang 0 BUN 1naomba matokeo mkùu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yang 0 BUN 1naomba matokeo mkùu
Not anymoreYang 0 BUN 1
Dah vyura wamechomoaLeo mambo yatanoga tu, biashara united ziba kabisa pua za vyura hawa, sitaki kusikia kelele zao.
Dakika ya ngapiDah vyura wamechomoa
Ndio hivyo mkuu, tuombe Mungu tupate ata sare inatutosha sana.Dah vyura wamechomoa
Ndio hivyo mkuu, tuombe Mungu tupate ata sare inatutosha sana.Dah vyura wamechomoa
hakika mkuuNdio hivyo mkuu, tuombe Mungu tupate ata sare inatutosha sana.
80sDakika ya ngapi
Hahahahahh hahaha nouma sanaMakambo kafunga biashara leo
Dah ng'ombe wa maskini hazai
Hahaha sawaAchana na Yanga kaka utapata pumu kama sio ugonjwa wa moyo
Acha wapigwe tu wamechokoza wenyeweWanapigwa la 3 sasa hivi
Wanajifanya hawaoni ulichohitajiLeteni matokeo sasa
Hawajakusikia hao biashara, waambie tenaLeo mambo yatanoga tu, biashara united ziba kabisa pua za vyura hawa, sitaki kusikia kelele zao.
Sawa mkuu.Hawajakusikia hao biashara, waambie tena